Chama Cha Tennis Tanzania (TTA) Kwa Kushirikiana Na Gymkhana Club Dar es salaam Watangaza Mashindano Ya Tennis Kwa Vijana

Chama cha Tennis Tanzania (TTA) kwa kushirikiana na Gymkhana Club ya Dar es salaam, leo wametengaza mashindano ya ya Tennis kwa vijana wa umri chini ya miaka 16 na wachezaji wenye ulemavu wa miguu yaani wheelchair. Haya ni mashindano ya wazi na yanatoa pointi kwa wato watakao shiriki kwa kila... Read More →