Katiba Inayopendekezwa Yakabidhiwa Kwa Rais, Kwa Mara Ya Kwanza Ikiwa Imewamulika Wasanii Kwa Kiasi Kikibwa

Siku ya jana Jumatano 7, 2014 mjini Dodoma ilikuwa ni siku ya kihistoria baada ya katiba inayopendekezwa kukabidhiwa kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Dokta Shein. Mwakilishi wa wasanii Saimon Mwakifamba akizungumza alisema katiba hii inayopendekezwa ni katiba ambayo imewamulika... Read More →