Huddah Monroe Apata Deal Ya Kutangaza Nguo Za Vazzi

Mshiriki wa Big Brother Africa iliyopita miaka ya nyuma, Huddah Monroe amepewa deal ya kutangaza nguo na kampuni inayofahamika kama Vazzi. Vazzi ilizinduliwa mwaka 2010 kwa lengo la kutengeneza nguo zenye ubora, zikiwa ni za bei nafuu na za staili mbalimbali kwa ajili ya Wakenya na watu wengine duniani. Mwanadada... Read More →