Albamu Ya Meek Mill “Dreams Worth More Than Money” Kutoka Kama Ilivyopangwa

Albamu ya mkali repa anayewakilisha Philadelphia Meek Mill ndoto zake bado zitasikika na watu hata kama hatakuwa bado jela au ametoka, Mapema jana Septemba 2 nyimbo nne zimevuja. Albamu ya Meek Mill inayoitwa Dreams Worth More Than Money imepangwa kutoka Septemba 9 kuanzia Julai 7. Wiki moja baada ya kutangazwa... Read More →