Picha: Huyu Ndio Mwanaume Anayetajwa Kuwa Na Mvuto Zaidi Duniani Kwa Sasa

Wiki kadhaa zilizopita paliibuka mwanakaka Mmarekani aliyetajwa kuwa ndio handsome kuliko wote duniani kwa wakati huo Aliyefahaminika kwa jina la Felon Jeremy Meeks Baada ya kisa chake cha kuwa mwanamme muhalifu handsome aliyezua gumzo mtandaoni Kwasasa Felon hana deal tena baada ya kijana mwingine mwanamitindo mswidish kuibuka na kuanza kuzua... Read More →