Kifo Cha Tupac Kuongelewa Siku 3 Mfululizo National Geographical Channel

Tupac ni repa ambaye alikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa vijana nchini Marekani na duniani kabla ya kifo chake mwaka 1996, Baada ya kifo cha Tupac, Repa kutoka Brooklyn, Beyonce hubby Jay Z yeye ndio amekuwa repa mwenye ushawishi kuliko dunaini hilo halina ubishi. Wikiendi hii kuanzia tarehe 6 Jumapili... Read More →