Lil Wayne Kuachia Albamu 7 Mwaka Ujao (Atakuwa ameweka rekodi?
Mkali wa ngoma nyingi ambazo zimempa umaarufu mfano Lol Pop, Drop the world, How to love na nyinginezo the Young Money Boss Lil Wayne anajiandaa kutoa albam 7 mwakani, Wayne ana nia ya kuwa msanii wa hip hop ambae atakuwa ameachia albamu nyingi kwa mwaka mmoja. Rapa huyo kutoka Young... Read More →