Baada Ya miezi Sita Ya Kuwa Katika Hali Ya Maututi, Michael Schumacher Atoka Hospitalini
Hospitali ya Grenoble na meneja wa Michael Schumacher Sabaine Kehm wamethibitisha kuwa bingwa wa dunia mara 7 katika mashindano ya Formula 1, Schumacher ametoka katika hali ya mahututi, hali aliyokaa nayo kwa miezi sita na ametoka hospitali na amewasiliana na mke wake na watoto. Michael Schumacher alikuwa akitibiwa majeraha mabaya... Read More →
