Rihanna Atajuta, Bifu Lake Na Kundi La TLC Laendelea Kwa Style Hii

Ule Mzimu unaomuandama Msanii Rihanna Baada ya kupost picha zake za utupu mitandaoni sasa unaonekana kuchkua sura nyingine baada ya hata vijana nao kujitokeza kumdiss kwa namna moja ama nyingine Mara hii mtoto Wa moja ya msanii wa kundi la TLC, T.Boz Ameibuka na mumstop Rihanna kwa kile alichoita ni... Read More →