CHADEMA Yakemea Ukandamizaji Wa Demokrasia
Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo makao makuu ya CHADEMA Kinondoni leo: Masuala 2 yalikuwa: 1. Sintofahamu katika chaguzi za kuwapata wenyeviti/makamu wenyeviti wa halmashauri na Mameya/manaibu meya katika maeneo ambayo UKAWA umeshinda. 2. Ukandamizaji wa demokrasia jimboni kwa Waziri Mkuu. Kumekuwa na kila dalili za uminywaji na ukandamizaji... Read More →