Mkali wa ngoma ya “Wreckage Ball” mwanadada ambaye haishi vituko, wakati anatoka watu wengi walimfananisha na Rihanna lakini Miley Cyrus anaweza akawa kadata zaidi,huwa haoni hatari kubaki na chupi tu anapokuwa jukwaani pamoja kuvuta bangi akiwa jukwaani kwani ishatokea mara kadhaa.
Miley Cyrus aliwasha bangi na kutoa nguo ya juu ni tour yake ya “Milky Milky” huko Vancouver,check picha…….