Hongera Ridhiwani Kikwete Kwa Ushindi Wa Kishindo Jimboni Chalinze

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Bwana RIDHIWANI KIKWETE mshindi wa kiti cha ubunge cha jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo kupitia Chama Cha Mapinduzi. Akitangaza matokeo hayo baada ya wagombea wengine kupitia vyama vya CHADEMA, CUF, NRA na AFP kuridhia Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la C halinze Bwana SAMUEL SALIANGA... Read More →