Polisi Visiwani Zanzibar wamethibitisha kutokea milipuko miwili ya mabomu Jumatatu leo

Polisi Visiwani Zanzibar wamethibitisha kutokea milipuko miwili ya mabomu Jumatatu leo mchana visiwani humo. Mkuu wa Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame amesema milipuko miwili imetokea leo katika eneo la mgahawa wa Mercury huku mlipuko mwingine ukiwa umetokea katika eneo la Mkunazini,Karibu na kanuisa la Aglican Mkuu huyo wa Polisi Zanzibar amesema kuwa... Read More →