Haya mengine tena waumini wahamasishwa kuingia kanisani bila nguo…,
Ni waumini wa kanisa la Sourthereastern Virginia
waumini wa kanisa hilo lililopo nchini Marekani Huenda kanisani wakiwa wamevaa nguo zao ila wakifika kwenye lango la kuingia ndani ya kanisa huvua nguo zao kabla ibada haijaanza
Mchungaji wa kanisa hilo Allen Peter amesema wameamua kusali bila kuvaa nguo kutokana na kuona nguo ni swala la kidunia zaidi..,
HAYA VIHOJAVYA 2014 VIMEANZA KIPEKEE HUKOOOO KWA WENZETU
WABONGO TUNAVYOPENDA KUIGA TUIGE NA HILI SASA….
KAZI KWETU WABONGO