
Wanapatikana karibu kabisa na makutano ya Samora na Morogoro Road Posta.
Bazee za ukweli,
Hand Bag za ngozi kabisa toka uturuki
Kina baba hamjaachwa nyuma, tai, boxers,vest, leso nk.
Mikwaju Hatareee
Kwa wale wasafiri basi tenaa hapo mmefikishwa
Karibu Pentagon ukutane na Tabasamu bomba toka kwa Owner Mwenyewe Dada Maryam akushauri nini uvae wapi kwa wakati gani na kwanini. Wapo makutano ya Morogoro Road na Samora Posta.
