
Hapa wanamitindo walipita jukwaani kuonyeesha aina ya nguo alizobuni Mbunifu Ally Remtulla katika toleo lake jipya la mwaka 2014, kulikua na utamu wake baada ya wanamitindo wengi kuteleza na viatu virefu jukwaani katika hali ya madoido nk.
Tazama japo kwa picha ujionee namna wanamitindo hao walivvutia wakati wa kuonyesha aina hiyo mpya ya Mavazi ya mwanamitindo Menye jina sana hapa Tanzania Ally Remtulla
Kwanza anza na picha za mwanamuziki Shah alivonogesha usiku huo
