
Week End Hii Baraza la sanaa la Taifa Basata kupitia Kinywaji cha Kilimanjaro liliandaa Semina ya wadau wa Muziki wakiwemo Watangazaji kutoka mikoa yote, Ma Dj, na wadau mbalimbali wanaohusika na muziki Kwa karibu ili kufanya Mchakato wa kuwapata wanamuziki watakaoingia kwenye kinyang’anyiro cha Kilimanjaro Music Awards inayotarajiwa kufanyika Mwezi wa sita Mlimani siti
Na hizi ni picha katika matukio mbali mbali wakati wa semina hiyo ya siku mbili.
Semina ilifanyika White Sand Hotel na usiku wa siku ya kwanza palifanyika ka party kadogo ka kurefresh akili na kuwaweka sawa wana Academy kwa ajili ya zoezi la siku ya Pili.
Day 2
End.
