Mpenzi wa Chriss Brown ambae alimuandalia (Chriss Brown) Breezy surprise party baada ya kutoka jela, mwanadada Karrueche amepost picha akionyesha makalio yake jana kuwapa moyo wasichana wengine wasijisikie vibaya kuhusu michirizi katika miili yao, Post yake hiyo ilionekana na watu wengi sana duniani na wengine wakisema anajaribu sana kuwa kama Rihanna.
Wengine walisema alitafuta nafasi ya kuonyesha makalio yake, lakini wasichana wengi walimpongeza kwa kujiamini kwa kuonyesha stretchmarks zake. Karrueche alisema wiki iliyopita alipost picha ambayo ilimuonesha msichana akiwa na michirizi kibao, lakini haikuwa yeye mwenye picha alipoona alichukia sana kwanini amepost hiyo picha.
Karrueche akaamua kupost yake ikionyesha kuna strechmarks pia, Chriss Brown ane alimsupport kwa kupost picha inayoonyesha makalio ya Karrueche, tatizo linakuja Chriss Brown anapo post kama hivi Rihanna anasubiri kwenye kona anatumaini labda mshikaji kama mshikaji yuko deep kweli kwa Karrueche this time around.