Mwanamuziki Ciara Anatarajia mtoto wake wa kwanza hivi karibuni na mchumba wake Future, Siku ya jumamosi alifanya baby shower iliyokuwa imeandaliwa na kuhudhuriwa na marafiki na watu wake wakaribu akiwemo Kim K, Kris Jenner na Lala Anthony iliyofanyika katika eneo binafsi huko California.
Jionee Picha kadhaa
Kutokana na Rangi Ya Cake Inaonekana hapo kijacho kitarajiwa ni Baby Boy