
HIVI NDIVYO MWANAMITINDO WA KITANZANIA FLAVIANA MATATA ANAPOZIDI KUIPEPERUSHA BENDERA YA WATANZANIA KATIKA SOKO LA UANAMITINDO DUNIANI.
MARA HII FLAV AMEONEKANA KATIKA MAVAZI YA MADUKA YA NGUO YA TRUWORTHS YA NCHINI AFRIKA YA KUSINI, HII INAASHIRIA KWAMBA UKIWA NA NIDHAMU NA KAZI NA NDOTO UTAFIKA
HONGERA FLAVIANNA
HONGERA FLAVIANNA MAMA ENDELEA KUTUWAKILISHA. TUNAJIVUNIA WEWE.
