
Ikiwa ni siku chache tu zimepita tangu baadhi ya watu waliojiita wazazi kuanzisha mjadala na kampeni ya kuwataka wazazi wa Mtoto Blue Ivy Beyonce na Jay Z kumchana Nywele Mtoto wao katika mitandao ya kijamii hasa Tweeter
Hatimae kilio hicho kimesikika na kwamba wazazi hao wamemchana mtoto wao nywele
Blue Ivy Alionekana akiwa na Baba Yake Jay Z Katika Siku ya baba Duniani Akiwa Amechanwa Nywele Zake Vizuri Tu
Blue Ivy Akiwa kafanyiwa lolote kwenye nywele zake tofauti na zilivyokua zinaonekana hapo awali kabla ya kampeni ya kumchana nywele mtoto Ivy kuzuka Mtandaoni
