
Watanzania waishio nchini Afrika ya kusini wamepata wasaa wa kuuwaga mwili wa Albert Mangwea kuelekea katika safari yake ya mwisho Baada ya taratibu zote za kiserekali kukamilika
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Mangwea
Kinje akionekana katika picha amebeba jeneza la mwili wa marehemu
Kinje katikati akiwa na baadhi ya watanzania wengine wanaoishi nchini afrika ya kusini wakiwa katika nyuso za huzuni
Msanii Bushoke sambamba na Rafiki
Baadhi ya watanzania waishio Afrika ya kusini wakiwa katika sehemu ya kuuaga mwili wa marehemu magwea
Mwili wa Mangwea unatarajia kuwasili Nchini kesho na taratibu za kuaga hapa Dar Es Salaam kufanyika siku ya jumatano na kuzikwa Morogoro siku ya Alhamis Inshaalah
RIP ALBERT MANGWEA
