Rihanna amepiga picha akiwa amekaa pembeni ya Wolves kwa ajili ya magazine hiyo, Rihanna amepangwa kutokea katika cover la gazeti hilo linaloitwa W Magazine Fall Fashion Issu.
Mwanadada huyo mwenye style za kutisha duniani style ambazo hata zimekuwa zikizusha maneno mengi hata kusababishwa kuitwa Freemason gal…jana Drake akaambiwa alimfananisha na alama ya shetani katika tamasha lake la OVO lakini yote kwa yote Rihanna anapenda picha za kutisha tisha sana ndo nature yake.
Rihanna ameshatokea katika macover ya magazeti kibao likiwemo Lui, Topess mapema mwaka huu.. Rihanna baada ya kupiga picha hizo alishare kwenye twitter account yake gazeti hilo linategemea kutoka mwezi wa Septemba.
Wish luck acha waseme endelea kutengeneza mkwanja ili ukamiliki klabu moja ya mpira vizuri kama zilivyo ndoto zako Bad Gal Riri World’s Wildest Icon.