Jana Jumamosi Ndio Ilikuwa Ahadi Iliyotimia ya Mwanamuziki Paul Okoye wa Kundi La P’Square baada ya kumuoa mchumba na mama wa watoto wake Anita Isamas,
Harusi Hiyo ilifanyika huko Aztech Arcum ,Port-Harcour Nchini Nigeria huku ikihudhuriwa pamoja pacha mwenzie kutoka kundi hilo la P’squre Peter na Mkewe lakini pia watu mbalimbali maarufu katika tasnia ya burudani kwau jumla walikuwepo akiwemo
Naeto C, Julius Agwu, Uche Jumbo, Uti Nwachukwu, Ini Edo, Funke Akindele, Omotola Jalade-Ekeinde, M.I., Banky W, Darey Art-Alade, Phyno, Mike Ezeruonye, Vast & Smash of Bracket, and much more.
Kilichoniburudisha zaidi hapa ni pamoja na jinsi waalikwa walivyopendeza na sare ya pamoja ikiwa kwa wanaume nguo nyeupe scarf sare shingoni na vikofia
huku wanawake wakiwa wamevali Blue na Vilemba kama Orange hivi yani wasafiii wamependezaaaaaaa
Bi Harusi Anita Alivaa nguo zaidi ya mara moja
Tazama Hapa