
Harusi hii ya Shela Jeupe kama walivoiita wenyewe ilifungwa Jana huko Dubai ndani ya JEMIRAH BEACH RESORT.
Camera za mapaparazi hazikuruhusiwa humo ndani
2face na mkewe Annie hapo wakiingia japo picha ina giza kidogo itakua picha za Sim na hivi Camera hazikuruhusiwa!!!
Inni Eddo umemuona hapo na wacheza filamu wa Noliwood
Hapo nimemjua Davido
Mwenye kofia nani vile nae maarufu kweli
Kushoto ni Uti mshindi wa Big brother miaka ya nyuma sasa hivi anakipindi kinaitwa JARA Mnet
Huyu sio basketM kweli? Yule commedian

1 Comment
Jaman wasanii we2 wanaona uzur wa ndoa?
We are tired of scandals!