Siku ya Ijumaa 31 Oktoba 2014 kuanzia saa 2 usiku pale MOG Bar & Restaurant maeneo ya Kinondoni nyuma ya Best Bites Lady Jay Dee, Commando, Mamaa some food, Binti Machozi & The Band walipiga show kali iliyohudhuriwa na mashabiki wa Lady Jay Dee na wapenda burudani kutoka sehemu mbalimbali za Dar es salaam.