
Home Deco Ni kipindi Kinachoandaliwa na Zaynab Gulam na team yake na kurushwa Channel Ten, kutokana na umahiri wa kazi zao ndio nilipowahitaji na mie wanipambie nyumba yangu kwa Rangi na jinsi ya upakaji wao. kipindi chao wanakubadilishia nyumba na kuipendezesha au hata kukupangia vixuri vitu na kukushauri nyumba yako iweje ki uweledi zaidi.
Haijalishi unabangaloo au kichumba kimoja wao popote wanatimba na utafrahi na roho yako, hawana bei sana tozo yao ni kwa ajili ya Rangi na fundi other wise ma ofa kibao waone nawe nyumba yako ipendeze.
Mie nimependa kubadilisha sebule yangu kwa focal point ukizingatia skukuu ya Eid hiyoo yaja inapendeza nyumba ikiwa mpya, lakini pia na chumba cha wageni maana natarajia mgeni muhimu sana maishani mwangu hivi karibuni.
Tazama Picha hapa
