Ijumaa 17 Oktoba 2014 ndani ya Coco Lounge msanii wa Bongo Flava Shilole a.k.a Shishy Baby akizindua video ya wimbo wake unaoitwa “Namchukua” uliotengenezwa na producer Nah Reel.
Usiku huo ulihudhuriwa na mastaa kibao wa muziki huo akiwemo mkali Diamond, Chege, Nay wa Mitego, Ben Pol, madjs kama Dj Tass, Dj Niko Track na wengineo.