
Picha wakati wa chakula kwenye Maulid ya Baby Ara The King himself alipotimiza siku 40 toka alipozaliwa, Maulid ilifanyika siku ya Jumamosi 27/02/2016 pale Terrace Lounge iliyopo Msasani Mall.
Maulid hiyo ilihudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki ambao walifurahi sana kwa sababu ilikuwa ni siku ya Furaha…Congrats Salma and Baby Ara..God bless.
