
Wanamitindo mitindo mbali mbali wakipita jukwaani wakati wa onyesho la mavazi la kanga za kale lililofanyika katika hotel ya kimataifa ya Serena iliyopo Dar Es Salaam Jana jumapili
Onyesho hilo liliandaliwa na Mbunifu mkongwe wa mavazi Tanzania Bi Asia Idarious Wa Hamsini, Hili nionyesho kati ya maonyesho mengi ambayo mbunifu Asia amekua akiyafanya kila mara kuinua sanaa ya ubunifu hapa tanzania
Wabunifu mbali mbali wamepita jukwaani wakati mavazi yao yakiwa yamevaliwa na wanamitindo wa Tanzania wakiwemo watu wazima na Nguo zilizo nakshiwa na Kanga
