
Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa Majanga Msanii wa Bongo Movie alieliteka soko la Bongo Fleva Snura yupo jikoni akiipika Video yake Mpya ya wimbo wa NIMEVURUGWA ambao kwa sasa ndio upo sokoni
Kupitia Instagram amepost Picha zinazoonyesha akiwa katika harakati za utengenezaji wa Video hiyo huku akiwa amezungukwa na wasichana wengine warembo pamoja na msanii wa bongo movie aliyetokea katika Video ya wimbo wa Lady Jay Dee Yahaya DUDE

Msanii wa Bongo Movie Dude akiwa kati kati ya waremo katika utengenezaji wa Video hiyo ya NIMEVURUGWA
