
Kama ulikuwa unadhani mtoto wa Beyonce Blue Ivy Ndio pekee amefanana zaidi na mzazi wake fikiria tena, wapo watoto wengine maarufu waliofanana na wazazi wao ambao nao ni maarufu kuanzia kwa Angelina Jolie na baba yake Colin Hanks hata Jaden Smith kwa baba yake Will. wengine hawa hapa
