Ujenzi wa daraja la Kigamboni hautokamilika kama ilivyotarajiwa Januari 2015 na badala yake utakamilika Julai 2015 kufuatia mikondo ya maji kukutwa chini ya miamba iliyotarajiwa kusimamishwa nguzo za daraja hilo na kulazimisha mkandarasi kuongeza urefu wa nguzo kutoka mita 64 hadi 84.
Hizi ni Baadhi ya picha za ujenzi wa daraja la Kigamboni unaoendelea hivi sasa