Mashindano makubwa ya soka barani Afrika almaarufu kama AFCON yaliyofanyinyika kwa takribani mwezi mmoja, mwenyeji akiwa ni Equatorial Guinea yamekamilika usiku wa kuamkia Jumatatu 9 Februari 2015 kwa fainali iliyohusisha timu kali za Afrika The Elephant Ivory Coast na Ghana katika uwanja wa Bata huko Equatorial Guinea. Mchezo ulikuwa mkali sana timu zote zikijaribu kupata magoli na kuibuka mabingwa wa AFCON 2015, lakini mpaka dakika 90 zinakamilika hapakuwa na mshindi, zikaongezwa dakika 30, nazo pia hapakuwa na mbabe ndipo ikaenda katika upigaji wa matuta ambapo Ivory Coast aliibuka mbabe kwa kupata penati 9 huku Ghana wakiwa wamepata penati 8. Hivyo Ivory buy generic cialis Coast kutawazwa binga mpya wa AFCON 2015, hii ni mara ya pili kwa Ivory Coast kushinda taji hilo toka mwaka 1992. Timu zote zilipata kona 6 kila mmoja, fauli Ivory Coast ilifanya 31 na Ghana 22, mipira kwenda golini Ivory Coast ilipiga 7 na Ghana 16. Ghana aliongoza kwa kutawala mpira kwa kiwango cha levitra overdose asilimia 54 kwa 46 kwa timu ya levitra for sale Ghana.
Hii ni List iliyocheza kwa Ivory Coast
- 01 Barry Booked
- 21 Bailly Booked
- 04 K Touré
- 22 Kanon Booked
- 17 Aurier
- 20 Gonzaroua Die Booked
- 19 Y Touré
- 05 Tiéné Booked (Kalou – 116′ )
- 15 Gradel (Doumbia – 67′ )
- 12 Bony
- 10 Gervinho (Gadji-Celi Carmel Junior – buy cialis 122′ )
Substitutes
- 02 Diarrassouba
- 03 Assalé
- 06 Doukoure
- 07 Doumbia
- 08 Kalou
- 11 Gadji-Celi Carmel Junior
- 13 Akpa-Akpro
- 14 Diomande
- 16 Gbohouo
- 18 Traoré
- 23 Mandé
Hii ni list ya Ghana ilicheza
- 01 cialis Brimah
- 23 Afful
- 21 Boye
- 19 Mensah
- 17 Baba
- 06 Acquah
- 11 Wakaso
- 07 Atsu (Acheampong – 116′ )
- 02 Appiah (J.Ayew – 99′ )
- 10 A.Ayew
- 03 Gyan (Badu – 121′ )
Substitutes
- 04 Gyimah
- 05 Awal
- 08 Badu
- 09 J.Ayew
- 12 Sowah
- 13 Rabiu
- 14 Asante
- 15 Otoo
- 16 Dauda
- 18 Amartey
- 20 Accam
- 22 Acheampong