Polisi ambao walikuwemo katika kuangalia usalama walijikuta wakipagawa baada ya kumwona Arnold akiwa katika pitapita zake huko New York nchini Marekani
Hapo ndipo Nguvu ya umaarufu kama si umashuhuri ilipojitokeza na maafande hao kujikuta wakisahau majukumu yao ya kulinda Wananchi Na Mali zao wakaingia katika zoezi la kupiga Picha pamoja na mkali huyo wa Movie za Action Pia aliwahi kuwa Governor wa Jimbo California Nchini Marekani .
Nilijua bongo tu kumbe na kwa wenzetu Haya Sasa Masuperstars na Macelebrity kazi kwenu Mfanye mkipita pita mtaani Tuone..