katika hali inayoonekana kushangaza wengi Pope Francis Ameshauri ya kuwa anaweza kujiuzulu upapa siku zijazo kama ilivyotokea kwa papa aliyepita, Pope Benedict XVI alivyofanya mwaka uliopita, na kwa uamuzi huu itamfanya kuhesabika kuwa papa wa pili mwingine tena aliyewahi kuchukua maamuzi hayo baada ya zaidi ya miaka 600 iliyopita
Papa Francis aliyasema hayo jumatatu aug 18 wakati akiwa njiani kurejea Rome Italy akitokea South Korea alipokuwa ametembelea
“Watasema hii si sawa, lakini nadhani hivyo,tufikiri kuhusu papa [Benedict XVI] alivyosema. ” Nimekuwa mzee sasa sina tena Uwezo WA Kuongoza” Ilikuwa ni nzuri kwa binadamu kiubinadamu na uthubutu”
Lakini naweza sema kwangu pia, kama naona kunawakati siwezi tena kuendelea mbele nitafanya hivyo hivyo
Pope Francis alitania kwa kusema hatahivyo sina muda wa kuishi sana nafikiri naweza kufariki kama miaka miwili mitatu ijayo hivyo sihitaji kujivunia
“I know this will last a short time, two or three years, and then to the house of the Father.” alisema