Mtayarishaji wa mapigo ya muziki nchini, Tudy Thomas amevamiwa na watu wanaosadikika kuwa ni vibaka maeneo ya Mlimani City usiku wa kuamkia leo Ijumaa 31/07/2015 na kujeruhiwa sehemu mbalimbali mwilini. Producer huyo amelazwa katika Hospitali ya Muhimbili, kitengo cha Moi.
Endelea kutembelea salmamsangi.com kwa stori zaidi..