MMG Boss Rick Ross amepanga kuachia albamu yake mpya inayoitwa “Black Market” Desemba 4 mwaka huu na toka alipoziweka wazi ngoma zitakazopatikana katika albamu hiyo, watu wamekuwa na maswali mengi juu y albamu hii.
MTV News walifanya listening session ya albamu hiyo na wakaja na hitimisho na ngoma ambayo Rick Ross amemshirikisha Future “D.O.PE” ilivyo.
“future ameleta aina yake ya muziki watrap kwenye hii ngoma, ukweli,wakati Rozay alikaaa kwa ajili ya ngoma nyingie, ngoma ya D.O.P.E ilimchukua na kumfanya kucheza”
MTV pia waliongea na Rick Ross kuhusu albamu hayo na mkazi wa Miami, aliwaambia kwamba “Black Market” inaweza ikawa alabamu yake yenye nguvu sana mpaka sasa.
“Albamu hii kweli ni albamu yangu kali, labda ni albamu yangu yenye nguvu sana, inanihusu, kweli nafungua upeo wangu kuhusu muziki wa siku zilizopita kitu nachotaka kusikia club, pia nipo kwenye mazungumzo na washkaji kwamba wanaweza wakavutiwa na na kuelewa nini nazungumzia” alifunguka Rick Ross.
Rick Ross Asema “Black Market” Album Ni Albamu Yake Yenye Nguvu
Previous Story
J.Cole Amtembelea Shabiki Hospitali
Related Posts
-
-
It’s THEIR time
-
Kanye West Na Kim Kardashian Wanunua Nyumba Ya Dola Milioni 20
-
MWILI WA LANGA WAAGWA NA UTAZIKWA LEO
-
Hawa Ni Watoto Wanaoweza Kukuwa Wakichukia Media
-
Forbes List Ya Mastaa Wenye Mkwanja Mayweather Ashika Nafasi Ya 7
-
Hosni Mubarak Ahukumiwa Kwenda Jela Miaka Mitatu, Wanae Wahukumiwa Zaidi