
Rick Ross ambae albamu yake ya “Black Market” imepangwa kutoka Desemba 4, ametokea kwenye gazeti maarufu la Source 2015 likiwa ni maalum kipindi hiki cha mapumziko.
“Still Hungry” the cover title for our Holiday Issue #268, has never been more of an appropriate title for the music maker, mogul and Wing Stop ambassador, who released two number one albums through his MMG music empire earlier this year, and is now back for one of his own,” Source wameandika kwenye tovuti yao kuhusu cover hiyo ya Rick Ross kwenye gazeti la Source.
Jeezy pia ni moja ya wasanii ambao watatokea kwenye cover ya gazeti la Source 2015 kipindi hiki cha Holiday Season.
Rapper huyo anayetokea Atlanta ameachia albamu yake ya “Church In The Street” Novemba 13, Kwa mara ya kwanza albamu hiyo ilianza namba 4 kwenye charts za Bill board Top 200, ilisogea hadi 107,316 units na iliuza albamu 98,380.
Check hapo chini cover hiyo ya gazeti la Source, Holiday Issue….
