Msanii Rihanna wa Marekani mwenye asili ya kutoka katika kisiwa cha Barbados ndie msanii ambaye ametazamwa sana kupitia mtandao wa Youtube pengine kuliko msanii yeyote Duniani
Kupitia Mtandao wa Tweeter Rihanna ame Retweet post ilioandikwa na Group ya #TeamRihanna iliyoweka idadi hiyo mara baada ya kufikiwa kama picha inavojionyesha
Rihanna amekua akipata views wengi sana kupitia mitandao ya kijamii kutokana na umahiri wake katika kuimba na mvuto aliokuwa nao