
Toka mwezi wa Desemba ulipofika kupitia mitandao ya kijamii tumewaona mastaa mbalimbali duniani wakiwa mapumzikoni, akiwa wa kike ndo hatsareee tsupu! Unawakuta ndani ya bikini za kufa mtu! LOL!
“California King Bed” Singer Rihanna a.k.a Bad gal Riri kama anavyojiita katika kipindi hiki cha sikuu za Christmas yuko nyumbani kwao kwenye visiwa vya Barbados akila bata, alinaswa na camera za mapaparazi akiwa amelala pembeni ya bwawa la kuogelea la hoteli moja ya kifahari, akiwa amerelax akiwa na marafiki akiwa anakunywa kinywaji chake kwa mrija. Ha ha habari ndo hiyo……
