
Miezi 5 baada ya kufariki Bobbi Kristina, nyumba yake imeingizwa sokoni kwa kiasi cha dola 500,000 kutokana na orodha ya kuuza mali, Taarifa za People Magazine nyumba hiyo iliingizwa katika orodha ya ya uuzaji wa mali kwa mara ya kwanza wiki 2 zilizopita kwa kiasi kiasi cha dola 470,000 na haidhaniwi kama ishauzwa tayari.
