Rihanna leo amekua na kazi moja ya ku post picha mbalimbali za Bibi yake enzi za uhai wake kupitia mtandao wa InstaGram ikiwa ni ishara ya kusherehekea Sikukuu ya kuzaliwa ya bibi yake huyo lakini pia ikiwa ni ishara ya kumbukumbu.
Rihanna akiwa na Bibi yake na Babu yake
Bibi wa Rihanna Alifariki mwaja jana. Rihanna amekua akimuongelea bibi yake mara kwa mara ya kuwa ndio alikua msingi wa maisha yake.
Bibi na babu wa Rihana katika picha waliopiga katika birthday yake mwaka jana