Rihanna macho yake yote yako kwa kijana wa Kiafrika na anajivunia kuwa Muafrika, Wakati wa mechi ya Ghana dhidi ya Marekani usiku wa kuamkia leo, mechi iliyomalizika kwa Ghana kufungwa 2 – 1, Rihanna alikuwa team Ghana baada ya kumuona kijana mwenye miaka 27 uwanjani mchezaji wa Ghan Kevin Prince Boateng.
Aliandika “Da Bae doe” I might have to be team Ghana on this one idc idc idc”
Bahati mbaya kwa Rihanna jamani…Boateng ana mchumba na anategemea mtoto soon, kabla ya Boateng Riri alikuwa kwa Ronaldo alikuwa akimuita baby..
Rihanna anapenda vijana wazuriiiiiiiiiiiii!!
Check tweets hapo chini…..