Picha za utupu za Rihanna, Kim Kardshian, Vannesa Hudgens na Gabrielle Unionzimeoneka kwenye mitandao bila wao kukubali.
Rihanna ni mmoja mastaa ambae picha zao za utupu zilisambaa sehemu mbalimbali ikiwa ni matokeo ya kusemekana kwamba zilikuwa hacked taarifa
za TMZ zimeeleza.
“Mapema Jumapili picha mbili za Riri zilivuja kupitia 4cha/redit, moja ikiwa imeficha matiti, picha hiyo inaonyesha makilio na chuchu” ripoti ya tovuti iliripoti.
Mastaa tofauti tofauti pia picha zao zilionekana kwenye mitandao ikiwa ni sehemu ya accounts zao kuwa hacked na picha hizo kupostiwa bila wao kutaka. Picha za utupuza Kim Kardshian, Gabrielle Union na Vanessa Hudgens picha zao zilivuja wikiendi hii, picha hizi pamoja na picha za Rihanna pia zilianza kuonekana kwenye mitandao ikiwemo twitter.
Mastaa waliona picha zao za utupu zikiwa zimeuploadiwa kwenye intanet bila wao kutaka mapema mwezi huu, akiwemo mwanamitindo Kate Upton na muigizaji Jennifer Lawrence. Jill Scott pia ni muhanga anayelalamikia kuingiliwa kwa account yake kwa muda huu, akini amekana alikubali picha yake itoke ambayo imesemekana kuwa yeye, alithibitisha picha moja akiwa kwenye kamba ilikuwa ni ya kweli.
Rihanna ambaye alionekana akiwa mtupu kwenye cover la gazeti la LUI mapema mwaka huu ajasema kutokana na picha zilizovuja sasa hivi, Union amesema atawasiliana na FBI kuhusiana na swala hilo.