
Ile simu ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu sasa, Samsung Galaxy S4 ndiyo kwanza imetoka na kama ambavyo watu mbalimbali wamekuwa wakijaribu kuikadiria itakuwaje, sambamba na kuachia taarifa mbalimbali ambazo sio rasmi kuihusu, Kwa uhakika sasa kwa kifupi tu mzigo huu utakuwa na features mpya zifuatazo
Itakuwezesha kuscroll katika screen yako wakati ule tu ambao macho yako yameelekezwa kutazama screen ya simu, na hii ni kwaajili ya kuzuia kujibonyeza ama kuscroll kwa bahati mbaya ama wakati hujakusudia.
Hapa pia, simu yako itaweza kufahamu/kusense kama macho yako yanaitazama ama hayaitazami ili kusaidia kwa mfano wakati unatazama video isikupite (Ukiacha kuitazama ina-pause).*Kuna ‘wave software’ pia, ambayo inakuwezesha ku-play ama kusimamisha wimbo/video bila kushika simu yako, na hata pia kuperuzi katika mtandao bila kuishika – utaweza kufanya hivyo kwa kuifanyia ishara kwa mkono wako. -Hii pia itakuwezesha pia kupitia ujumbe mfupi pamoja na e-mails zako, na pia unaweza kucheki kilichomo bila kufungua.
Kipya kingine katika Simu hii pia ni uwezo wake wa kusoma taarifa za watu wako moja kwa moja kutoka katika picha na kuzihifadhi katika contact list yako.
Haya ni baadhi tu ya mambo ya ziada kwa simu hii, so kwa wale wanao-feel hii ndio Samsung Galaxy SIV.
Network 2.5G (GSM/ GPRS/ EDGE): 850 / 900 / 1800 / 1900 MHz, 3G (HSPA+ 42Mbps): 850 / 900 / 1900 / 2100 MHz, 4G (LTE Cat 3 100/50Mbps) : up to six different band sets(Dependent on market) Display 5 inch Full HD Super AMOLED (1920 x 1080) display, 441 ppi Processor 1.6 GHz Octa-Core Processor OS Android 4.2.2 (Jelly Bean) Camera Main (Rear): 13 Mega pixel Auto Focus camera with Flash & Zero Shutter Lag, BIS, Sub (Front): 2 Mega pixel camera, Full HD recording @30fps with Zero Shutter Lag, BIS Video Codec MPEG4, H.264, H.263, DivX, DivX3.11, VC-1, VP8, WMV7/8, Sorenson Spark, HEVC Recording & Playback Full HD (1080p) Audio Codec MP3, AMR-NB/WB, AAC/AAC+/eAAC+, WMA, OGG, FLAC, AC-3, apt-X Dual Camera Dual Shot / Dual Recording/ Dual Video Call, Drama Shot, Sound & Shot, 360 Photo, Cinema Photo, Eraser, Night, Best Photo, Best Face, Beauty Face, HDR (High Dynamic Range), Panorama, Sports Additional Features Group Play: Share Music, Share Picture, Share Document, Play Games, Story Album, S Translator, Optical Reader, Samsung Smart Scroll, Samsung Smart Pause, Air Gesture, Air View, Samsung Hub, ChatON (Voice/Video Call, Share screen, 3-way calling), Samsung WatchON, S Travel (Trip Advisor), S Voice™ Drive, S Health, Samsung Adapt Display, Samsung Adapt Sound, Auto adjust touch sensitivity (Glove friendly), Safety Assistance, Samsung Link, Screen Mirroring, Samsung KNOX (B2B only), Google Mobile Services Google Search, Google Maps, Gmail, Google Latitude, Google Play Store, Google Plus, YouTube, Google Talk, Google Places, Google Navigation, Google Downloads, Voice Search
Visit www.sammisago.com for more.
