Malkia wa miondoko ya pop – Selena Gomez, rapa kutoka Miami – Pitbull, Christina Aguilerana wasanii wengine tayari wamekwisha ingizwa katika orodha ya wasanii watakao panda jukwaani siku hiyo.
Tuzo hizo za Billboard za Muziki zimepangwa tayari kufanyika May 19 live katika ukumbi wa MGM GRAND GARDEN Arena huko Las Vegas.