Baada ya kuripotiwa kuwa amesahau mtoto wake North mwenye umri wa mwaka mmoja hotelini huko Paris , kim kaona kama ni kituko tu na kubaki kucheka, Ripoti toka kwa mpiga picha aliyekuwa anamfuatilia kila hatua anasema
eti kim alikua tayari anaondoka na alishaingia kwenye gari lakini kabla gari halijawashwa aligundua kuna kitu amesahau ndipo akashuka tena kurudi katika hotel na baadaye kuja na mwanae North Lakini kim amejibu kuwa si kama alikua amemsahau mtoto wake bali alifika kukagua gari kwanza na kama kiyi cha mtoto kimo ndani kabla ya kumleta mtoto kwasababu tukio kama hilo liliwakuta. kukosa kiti cha mtoto katika gari