
Shakira ni msanii ambae anazali sana na show za kombe la dunia, hakuperform kwenye ufunguzi watu wakaulizana mwaka huu hayupo?
Lakini kwa sababu anazali sana kombe la dunia amepata shavu kuperform siku ya fainali itakayofanyika huo Rio De Jeneiro Brazili Julai 13 2014.
Wengine waliokula mashavu ya kuperform siku hiyo ni pamoja na Carlos Santana, wyclie Jean na Shakira mwenyewe ikiwa ni mara ya tatu mfululizo kwake. Shakira ataperform wimbo wa La La La Brazil 2014 huku Santa, Wyclie Jean na muimbaji kutoka Brazil wakiperform wimbo rasmi wa mashindano hayo Dar Um Jeito kwenye uwanja wa Maracana.
Baada ya kombe la dunia kuwa mapumziko kwa siku mbili, leo kinanuka tena, Ufaransa anacheza na Ujerumani, Brazil na Colombia. Sepp Blatter amezipongeza nchi zile ambazo zilikwa zikichukuliwa poa zi mekomesha vigogo vya soka duniani.
