Mwanamama wa kichina mwenye umri wa miaka 37 alikata uume wa mpwa wake mwenye umri wa miaka 3 baada ya mtoto huyo kuingia chooni wakati mama huyo alipokuwa akijisaidia.
Xue Paan alipewa jukumu la kumwangalia mtoto wa dada yake Qiang Qiang wakati mama yake alipokwenda kuwasalimia majirani zake. Wakati mama huyo alipokuwa akijisaidia huku akituma sms kwa boyfriend wake aliingia mtoto na kuomba simu yake ili acheze game. Kitendo hicho kilipelekea mama huyo kupatwa na hasira kali hadi kufikia hatua ya kwenda jikoni na kuchukua kisu na kuukata uume wa mtoto huyo.
Mama wa mtoto huyo alisikia kelele za mtoto zikitoa nyumbani kwake na alivyofika alikuta mwanaye akiwa amezimia katikati ya damu zilizomtoka
Mama Wa Mtoto Huyo Cai Tuan mwenye umri wa miaka 27 alirudi nyumbani baada ya kusikia mtoto akipiga kelele huku akiwa amemkuta amezimia na akiwa katikati ya dimbwi la Damu Nyingi zilizomtoka
“Nilitoka mara moja tu kama kwa dakika 30 kwenda kwa jirani kabla sijaanza kuskia makelele ya Qiang Qiang, nilikimbia kurudi nyumbani na sikuamini nilichokiona
Qiang Qiang alikuwa amezimia na alikuwa ndani ya dimwi la damu zilizomtoka huku pembeni yake pakiwa na kisu na Uume Wake , Nilijisikia vibaya sana na Dada Yangu Ambaye nia Aunt yake Alikuwa hayupo’ Alisema
wazazi wake walimkimbiza Hospital Ambapo madaktari walifanikiwa kuungu uume wake kwa huduma ya madaktari bingwa wa dharura baada ya kumfanyia upasuaji mara tatu na Kabla ya kumuhamishia katika Clinic maalum Kwa Matibabu Zaidi
Shangazi Wa Mtoto Huyo Ambaye Baadae Alitiwa nguvuni amehukumiwa kwenda jela miaka mitano